We do not have a sample of this song ):
40% accurate
Oooh yeah, aah aah yeiyee, alright
Anaitaka hapati, alijaliwa kidhamini hivi ni kwa nini
Hakika mwanamke akipenda kweli Atapigana vita vingi,ainusuru penzi (yeeeeyei)
Hivyo unampendea nini wakati kila kutwa
Anakuuliza
unang'ang'ania nini ni dhahiri subira heri itovuta
Wanaume wengine ni kama nguo nzuri ikitry mwili haikai
Tena hawamaanishi wasemacho,ni waongo hawafai
If I was your lover, ningedhamini penzi lako,
na style bora mwanamke anahitaji matunzo
Leila leila ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Changu chako, chako changu mi nawe,na wewe
Tena niacha utoto,kutwa kucha machangu,nikuoe
Nitakua shujaa wako ntakuliwaza nitakufariji mama. Ukinihataji mama nipigie simu yangu
Tena nitakua shujaa wako mama (Ntakuliwaza mama) Nitakufariji mama (Nipigie simu yangu) Mmmh nitakuwa shujaa wako mama(ntakuliwaza mama)nitakufariji mama (Nipigie simu yangu)
If I was your lover, Ningedhamini penzi lako, na style bora mwanamke anahitaji matunzo
Leila leila Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
Leila leila Ungekua wangu ningekupenda ipasavyo
If I was with you Leila
If I was with you leila
If I was with you leila (Si j'etais avec toi)
If I was with you leila Ningekupenda ipasavyo my beiby Si c'etait moi
Get this song on iTunes
Get this song on Google Music