We do not have a sample of this song ):
40% accurate
Yangu furans, Imegeuka majuto
Kicheko kimegeuka kills
Ila ninaamini wema hauozi umenipa mazito - me naumia hey
Nilijua utanifuta machozi umenipa majonzi - me nalia
Zangu hisia nilishindwa kuficha
Wazi wadi ukatambua
Na Ndonga ukanpasua
Wangu rafiki, Wote ulowajua
Na Nguo ukawavua, Pasipo me jujus
Wacha Nike pembeni
Namwachia Mungu tu
(Labda kuna mahai nilikosea)
Namwachuia Mungu tu
(Kesi yako wake nakushtakia)
Namwachia Mungu tu
(Maana umedizidi kunionea)
Namwachia Mungu tu
Aaaa
Nilikupa Muda na vyote vilivyo vyangu
Ila malice ya yote kunitukanisha na nudge
Kweli mzoea vya kunyonga vya kuchinja haviwezi
Nimelijua sawa
Moyo wangu umeuchakaza
Umehondomola mpaka gunzi
Woman umenilipa ubaya
Sitoshindwa hata tukionana
Kuachana sio uhasama
Sintothubutu kuzozana nimekunawa
Nakuombea kheri salama
Umpate yule mtakae wezana
Kumbuka kugunga Zipp bwana msije kwazana
Get this song on iTunes
Get this song on Google Music