We do not have a sample of this song ):

Otile Brown's picture

Umedamshi

(View album: Just In Love)

A Major (Ionian)

number of views for this lyric  1468 views

play button



40% accurate

Mtoto umedamshi

Oooh nah nah nah, oh nah nah
Oooh nah nah nah, oh nah nah
Oooh nah nah nah, oh nah nah
Oooh nah nah nah, oh nah nah

Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi
Mtoto umedamshi, mtoto umedamshi

Mungu kakuumba aah, kakutengeneza
Unavodamshi, umenipendeza
Unanikosha unavocheza
Kaja ketepa na mandom mama

Njoo nami nikupe fam
Hakika mama nina mipango, njoo nikushow
Natamani ningekujua kitambo
Before.. yeah

Maana ma we mzuri, mi nakutamani
Huna kiburi, nitakufunda ndani
Maana ma we mzuri, mi nakutamani
Huna kiburi, nitakufunda ndani

Nina imani hata ni kwa neema
Mi nawe kukutana bali kwa neema
Sio bure, sio bure
Nina imani hata ni kwa neema
Mi nawe kukutana bali kwa neema
Sio bure, sio bure

Mtoto una teke, tena yenye matege

Na kiuno cha wembe unakata ka machette love
Unakata kama machette love
Mtoto una teke, tena yenye matege
Na kiuno cha wembe unakata ka machette love
Unakata kama machette love

Maana ma we mzuri, mi nakutamani
Huna kiburi, nitakufunda ndani
Maana ma we mzuri, mi nakutamani
Huna kiburi, nitakufunda ndani

Get this song on
iTunes

Get this song on
Google Music

Youtube
Soundcloud
Share what this song means to you..