We do not have a sample of this song ):

Otile Brown's picture

Zaidi Yako

(View album: Just In Love)

A Major (Ionian)

number of views for this lyric  1272 views

play button



40% accurate

Nafumbua mboni mfumbe
Maana macho yananidanganya
Ama nimelewa pombe
Maana unapendeza kinyama

Hapa natoka na wewe
Na kama mbaya iwe lawama
Coz I want you--masela
Usinikatae mama sio sawa

Baby the way you do.. dance
Mama nimesimama kidete
Fanya kama unaketi
Inama nichomeke

Baby the way you do the belly dance
Mama nimesimama kidete
Fanya kama unaketi
Inama nichomeke

Zaidi yako wee, wee
Sitaki mwingine
Zaidi yako wee, wee
Mi naona wengi ila wewee
Sitaki mwingine, zaidi yako wee, wee

Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe oh oh wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe oh oh wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe oh oh wewe
Ni zaidi yako wee, zaidi yako wewe oh oh wewe

I see the way you smile mah
The way you move maah
The way you whine usione shy
Pandisha mizuka twende

Now do the coco, coco
Do the coco whine, coco
Sisi majo majo, jojo
Sisi majo majo, jojo

Sitaki mwingine, zaidi yako wee, wee

Kata dimba, kata dimba fire
Kata dimba, kata dimba fire

Get this song on
iTunes

Get this song on
Google Music

Youtube
Soundcloud
Share what this song means to you..